
| POST | MHAIDROJIA II (HYDROLOGIST II) – 6 POST |
| POST CATEGORY(S) | WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES |
| EMPLOYER | Ministry of Water and Irrigation |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-03-25 2022-04-07 |
| JOB SUMMARY | NA |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.kusimamia ujenzi na usimamizi wa ukarabati wa vituo vya hali ya hewa, vituo vya upimaji uwingi wa maji kwenye mitoni mabwawa na maziwa (discharge measurements);
ii.Uchukuaji wa sampuli za mchanga unaosafirishwa kwenye mito (sediment sampling) na kuzitafsiri;
ii.kufanya uhakiki wa takwimu (validation activities) wakati wa kuchakata takwimu.
iii.kuratibu ukusanyaji wa takwimu/taarifa zote za kihaidrolojia kutoka madakio na vidakio vya maji (catchments/sub catchments) na kuhakikisha takwimu zote kutoka kila kituo zinatumwa makao makuu ya bonde kila mwezi na tarehe 15 ya kila mwezi unaofuata zinawasilishwa wizarani; iv.Kufanya uchunguzi wa awali wa shughuli zinazohusu vituo vya haidrolojia; v.Kutengeneza ramani za vidaka maji katika mabonde ya maji kwa kutumia njia ya geographical information system; vi.Kubadili takwimu za kina (water leves) cha maji mtoni kuwa wingi wa maji ya mito (discharge); vii.Kufanya ulinganifu wa mvua inayonyesha na mtiririko wa maji ya mvua (runoff) kwa kila siku na kwa kila siku kumi(10); viii.Kuchakata takwimu na kuona mpishano wa muda mrefu (shift behaviooron long term basis kwa kutumia duble mass curv); ix.Kuhakiki utunzaji mzuri wa kanzi data ya takwimu kulingana na miongozo na usimamizi wa rasilimali maji; x.Kukagua vifaa vya kazi za kihaidrolojia ofisini, stoo na katika vituo vya kihaidrolojia. xi.Kushiriki kuchukua, kuchambua na kutafsiri sampuli za mchanga unaosafirishwa kwenye mito; xii.Kukusanya, kuchambua na kutafsiri takwimu za maji kutoka vituo vya hali ya hewa na vya upimaji wa uwingi wa maji kwenye mito, mabwawa na maziwa; xiii.Kutayarisha na kurekebisha taarifa za kihaidrolojia zinazohitajika mara kwa mara katika ofisi za takwimu ya Taifa (NBS); xiv.Kushiriki katika kazi za usalama wa mabwawa; xv.Kushiriki kwenye kubainisha maeneo yanayoathiriwa na mafuriko; xvi.Kushiriki katika kutayarisha kielelezo cha mtiririko wa maji (rating curve equitation); na iv.kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
|
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Shahada ya Haidrilojia au Uhandisi wa Rasilimali za Maji kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na serikali. Wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta. |
| REMUNERATION | TGS D |