×

Steve Nyerere Afunguka, Sababu Za Kajiuzulu-Video

KATIKA kipindi cha ‘KATAMBUGA’ leo Machi 28, tumepiga stori na muigizaji Steve Nyerere, kuhusiana na uamuzi wake wa kujiuzulu kwenye nafasi ya usemaji wa shirikisho la muziki Tanzania.

Leave a Comment