×

RPC Aliyekitaka Kiti cha Sirro Aondolewa Kupisha Uchunguzi

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko ya Ma RPC akiwamo Wankyo Nyigesa kutoka Kagera kwenda Makao Makuu. Wankyo amerejeshwa makao makuu kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Hivi karibuni alisema anatamani Rais Samia Suluhu Hassan amteue kuwa IGP.

Leave a Comment