×

Tuzo Za Muziki Zinatolewa Usiku Huu, Diamond Apewa Tuzo Ya Heshima-Video

Leo ni ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ambapo shughuli ya utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2022 inafanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment