Rais samia leo april 4, 2022, amezindua zoezi la ugawaji wa vitendea kazi ikiwemo pikipiki kwa maafisa ugani kilimo wa nchi nzima, zoezi lililofanyika Dodoma.