×

Fifa Yafungua Milango ya Kununua Tiketi kwa Ajili ya Fainali za Kombe la Dunia 2022

                                                                           Rais wa TFF Wallace Karia

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu (FIFA) limefungua dirisha la maombi ya tiketi kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia zitakazochezwa kuanzia Novemba 21 mwaka huu nchini Qatar.

Taarifa hiyo imethibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF).

Leave a Comment