SOKO la Karume (soko la mchikichini) limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Aprili 8, 2022.
Imeelezwa kuwa moto huo ulioteketeza sehemu kubwa ya soko hilo, ulianza saa 5:40 asubuhi na juhudi za zimamoto na uokoaji kuudhibiti moto huo zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx