×

Tarura Yasitisha Utozaji wa Faini za Ushuru wa Maegesho ya Magari Kuanzia Leo

Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 7/04/2022 Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), ilitoa taarifa ya kuanza kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho waliopitisha siku 14 bila kulipa madeni ya ushuru wa maegesho kwa madeni ya kuanzia tarehe 01/03/2022.

 

Taarifa mpya ya Tarura ya kusitisha kwa muda utozaji wa faini za ushuru wa maegesho ya magari.

HII HAPA CHINI ILIKUWA TAARIFA YA AWALI YA KUUJULISHA UMMA KUWA TARURA INAANZA KUTOZA FAINI ZA USHURU WA MAEGESHO YA MAGARI KWA WALIPITISHA SIKU 14

Leave a Comment