×

Kufuru! Harusi ya Mtoto wa Beckham Yagharimu Bil. 8, Watu Maarufu Wahudhuria

                          Brooklyn Beckham akiwa na mke wake Nicola Peltz 

HARUSI ya Brooklyn Beckham; mtoto wa mwanasoka mstaafu wa Uingereza, David Beckham iliyofanyika wikiendi iliyopita imegharimu Dola za Kimarekani milioni 3.5 (zaidi ya shilingi bilioni 8.1 za Kitanzania.

Brooklyn alifunga ndoa na Nicola ambaye ni mtoto wa bilionea mkubwa wa Marekani, Nelson Peltz mwenye utajiri wa shilingi trilioni 3.7 kwa mujibu wa Jarida la Forbes.

Harusi hiyo ilihudhuriwa watu maarufu kama Serena Williams, Eva Longoria, Gordon Ramsay, Spice Girls Mel B, Mel C, Emma Bunton, Gigi Hadid, Nicole Richie, Elizabeth Hurley, Tom Brady na Gisele Bündchen.

Leave a Comment