×

Video: Kwa Uchungu Mume wa Maunda Zorro Aeleza – “Tulipanga Kubariki Ndoa Yetu”

Mume wa Maunda Zorro, amesimulia jinsi alivyoenda kuutambua mwili wa mkewe hospitali baada ya kupata ajali.

Anaeleza kwamba ni ngumu kuamini kwa sababu amefikwa na misiba miwili ndani ya kipindi kifupi, wa kwanza ukiwa ni wa kaka yake aliyefariki dunia mwezi Januari.

Leave a Comment