×

Ratiba ya Kuaga Mwili wa Marehemu, Irene Alex Ndyamkama, Bungeni Dodoma

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mareheme Irene Alex Ndyamakama.

Kikao cha pamoja baina ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kimefanyika na kukubaliana kuwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mareheme Irene Alex Ndyamakama utaletwa Bungeni jijini Dodoma siku ya Jumatano Aprili 27, 2022 kwa ajili ya Ibada Maalum ya wabunge kutoaheshimazao za mwisho

 

 

Leave a Comment