SIKU chache baada ya kampuni ya ubber kusitisha huduma zao nchini, baadhi ya madereva wa jiji la Dar es salaam, wametoa maoni yao kuhusu kusitishwa kwa biashara hiyo ya tax mtandao ambapo wengi wao wameonesha kunufaishwa na biashara hiyo hivyo kuomba isisitishwe, iendelee.