

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ndugu Anthony Mtaka leo amekuwa kivutio wakati alipoongoza Walimu katika maandamano ikiwa sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi),Picha 3 hizi zilizopigwa na Adam H. Mzee zikimuonyesha Mkuu wa mkoa huyo akiongoza Waalimu hao kupita mbele ya jukwaa kuu.