Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 3, 2022 ameshiriki Swala ya Eid El Fitri pamoja na Waumini wengine wa dini ya Kiislamu katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA uliopo Kinondoni Muslim Jijini Dar es Salaam.