×

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Juma Duni Haji

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Juma Duni Haji Ikulu Tunguu, Zanzibar  Mei 05, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji aliyefika Ikulu Tunguu tarehe 05 Mei, 2022 kwa ajili ya kujitambulisha kwa Mhe. Rais mara baada ya kuchaguliwa katika wadhifa huo.

Leave a Comment