×

Video: Mpwa wa Hayati Magufuli, Furaha Dominick Avunja Ukimya, Amtaja Rais Samia

KATIKA kipindi cha ‘HOJA kwa HOJA’ leo Mei 05, 2022 tumefanya mahojiano na kijana Furaha Dominick ambaye ni mtoto wa dadake hayati Rais Magufuli, lakini pia ni mwanasiasa ambaye aliwahi kugombea ubunge wa Kawe na safari yake kukatishwa katika hatua za awali za kura za maoni ya ndani ya chama.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment