Mwimbaji Nyimbo za Injili Peter Lubango Azindua Kwa Kishindo ‘EP’ Yake
Global Publishers May 10, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Msanii wa nyimbo za injili Peter Lubango akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa nyimbo zake ‘EP’ uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Msanii wa nyimbo za injili Peter Lubango akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa nyimbo zake ‘EP’ uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwimbaji wa nyimbo za injili Upendo Nkone, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa EP ya mwimbaji Peter Lubango.Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatiliauzinduzi wa nyimbo za zake za Peter Lubango kwenye tv iliyokuwa ukutani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatiliauzinduzi wa nyimbo za zake za Peter Lubango kwenye tv iliyokuwa ukutani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatiliauzinduzi wa nyimbo za zake za Peter Lubango kwenye tv iliyokuwa ukutani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Msanii wa nyimbo za injili nchini, Peter Lubango amezinduzindua albam ya gospol ‘EP’ usiku wa April 08, 2022 katika Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam na kushuhudiwa na watu mbalimbali wa nyimbo za injili na mashuhuri.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa nyimbo zake ‘EP’, Lubango amewashukuru watanzania wote kwa kuendelea kuwa naye katika jitihada za kusambaza neno la bwana kupitia sanaa yake na hivyo kuwaomba kuzidisha upendo huo katika safari yake ya kimuziki wa injili.
Alisema kuwa Video ya Nyimbo yake imekuja kwa jina la ‘Badilisha’ ikiwa na sura mpya kabisa katika kuhakikisha ujumbe uliomo humo ni mafunzo tosha katika jamii ambayo inamtegemea Mungu.