×

Rais Samia Aelekea Nchini Uganda Kufanya Ziara ya Kiserikali ya Siku Mbili

Rais Samia akiagana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea nchini Uganda kwa Ziara ya Kiserikali ya siku mbili. 

Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 10, 2022 ameeleka nchini Uganda  kwa Ziara ya Kiserikali ya siku mbili. 

 

Leave a Comment