Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia leo Mei 10, 2022 hadi Mei 11 kwa mwaliko wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda.