Rais Samia Ahudhuria Swala ya Ijumaa Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar Es Salaam
Global Publishers May 27, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally, alipowasili katika Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar Es salaam kwa ajili ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa tarehe 27 Mei 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally, alipowasili katika Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar Es salaam kwa ajili ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa tarehe 27 Mei 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiondoka katika Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa Swala ya Ijumaa tarehe 27 Mei 2022.