×

Mo Awapongeza Yanga, Ataka Uamuzi Mgumu Ufanyike Simba Kusonga Mbele

Baada ya mchezo huo, Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji, aliandika kwenye mtandao wa kijamii kwamba: “Hongereni watani! Huu umekuwa msimu mbaya zaidi kwa Simba katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

 

“Bodi inahitaji kufanya maamuzi magumu juu ya njia ya kusonga mbele. Tunahitaji kurekebisha timu na mkakati wetu na kurudi kwenye njia nzuri. Tulikosa ari na njaa ya kushinda vikombe mwaka huu.”

Leave a Comment