
KLABU ya soka ya Yanga imetoa taarifa kwa Umma kwa kuachana na mchezaji raia wa Burundi Saido Ntibazonkiza
Yanga imetoa Taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii wa Instagram na kumtakia kila lakheri katika maisha yake ya soka huko aendako.
Saido anaondoka Yanga SC akiwa mfungaji bora namba mbili nyuma ya Fiston Mayele mwenye mabao 14
