
| POST | FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA II(ICT SECURITY) – 3 POST |
| EMPLOYER | National Audit Office (NAOT) |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-05-27 2022-06-09 |
| JOB SUMMARY | OK |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kusimamia maboresho ya programu za kompyuta kwa wakati (Ensure software patches are implemented timely);
ii.Kusakinisha, kusanidi na kuboresha programu za kuzuia virusi vya Kompyuta, (Install, configure, and update antivirus software); iii.Kuelimisha watumiaji masuala mbalimbali yanayohusu usalama, hatari na udhaifu katika mifumo ya TEHAMA (Alert users on various security risks, threats and vulnerabilities); iv.Kukagua mifumo ya TEHAMA mara kwa mara (Perform systems audit on regular basis); v.Kuweka viwango vya usalama na udhibiti katika mifumo ya TEHAMA kwa watumiaji (Implement security mechanisms and controls in computer systems); na vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Stashahada ya Juu au Shahada ya kwanza ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Menejimenti ya Mifumo
|
| REMUNERATION | TGS E |