×

Nafasi za Kazi 7 NAOT, Fani ya Ukaguzi wa Mifumo ya Taarifa (Information System Auditor)

POST FANI YA UKAGUZI WA MIFUMO YA TAARIFA (INFORMATION SYSTEM AUDITOR II) – 7 POST
EMPLOYER National Audit Office (NAOT)
APPLICATION TIMELINE: 2022-05-27 2022-06-09
JOB SUMMARY ok
DUTIES AND RESPONSIBILITIES  

i.Kushiriki katika kuainisha maeneo ya mifumo ya habari yanayoweza kufanyiwa ukaguzi na kutunza taarifa zake;

ii.Kushiriki katika kuandaa mpango kazi wa ukaguzi wa mifumo ya habari unaolenga maeneo hatarishi kwa kuzingatia vipaumbele vya timu ya ukaguzi wa mifumo ya habari;

iii.Kukusanya na kutunza taarifa muhimu kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa mifumo ya habari;

iv.Kufanya ukaguzi kwa vitendo katika maeneo yaliyolengwa;

v.Kushiriki katika kuchanganua taarifa na kuandaa rasimu ya taarifa ya ukaguzi wa mifumo ya habari;

vi.Kushiriki katika kuhakikisha kuna ufanisi kwenye vidhibiti usalama vya mifumo ya habari; na

vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE uajiriwa wenye Shahada ya Kwanza au Stashahada ya Juu katika mojawapo ya fani zifuatazo: Sayansi ya Kompyuta, Uhandisi wa Kompyuta, Teknolojia ya Habari au Mifumo ya Habari.

 

REMUNERATION TGS E

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave a Comment