LIVE: MAMBO NI MOTO BUNGENI, WABUNGE WANAIBANA SERIKALI KWA MASWALI MAZITO -VIDEO
Global Publishers June 6, 2022 4,634 views 0 Comments
SHARE THIS:
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake leo Juni 6, 2022. Wabunge wanaibana serikali maswali mazito kuhusu masuala mbalimbali ya majimboni kwao.