Rais Samia Aongea na Wananchi wa Biharamulo Mkoani Kagera (Picha +Video)
Global Publishers June 8, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi pamoja na Wananchi wa Biharamulo Stand alipowasili Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza tarehe 08 Juni, 2022.Wananchi wa Biharamulo Stand wakimshangilia Rais Samia.Rais Samia akiwasalimia wananchi Biharamulo Stand.