Basi la Zuberi linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Kahama mkoani Shinyanga leo Juni 15, 2022 limepata ajali na kutumbukia kwenye daraja katika eneo la Mwigumbi jioni hii, likitokea Mwanza kwenda Kahama.
Taarifa kamili zitakujia hivi punde!