Benki ya Absa Yaja na Mikakati Kuwanufaisha Wafanyabiashara Wadogo
Global Publishers June 16, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki Kuu ya Tanzania ( BoT ), Dk. Kennedy Nyoni akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uboreshaji wa huduma za kibenki kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati (SME) wa Benki ya Absa Tanzania.Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki Kuu ya Tanzania ( BoT ), Dk. Kennedy Nyoni ( katikati ), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed ( Kulia ), Mkurugenzi wa Biashara wa Absa, Mervin Saprapasen na Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Ushiriki wa Watanzania kwenye Miradi ya Kimkakati wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi ( NEEC), Neema Mwakatobe wakibonyeza kitufe kuzindua kampeni ya uboreshaji wa huduma za kibenki kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati (SME) wa Benki ya Absa, uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.Baadhi ya maofisa wa benki ya Absa wakishiriki uzinduzi wa kampeni ya uboreshaji wa huduma za kibenki kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati (SME) wa benki hiyo pamoja na waalikwa wengine jijini Dar es Salaam leo.Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki Kuu ya Tanzania ( BoT ), Dk. Kennedy Nyoni akipiga picha ya kumbukumbu na Wakurugenzi pamoja na baadhi ya wakuu wa idara za Benki ya Absa baada ya uzinduzi wa kampeni ya uboreshaji wa huduma za kibenki kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati (SME) wa Benki ya Absa Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.