
| POST | KATIBU MSAIDIZI WA BUNGE DARAJA LA II – 6 POST |
| EMPLOYER | Parliament of Tanzania |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-06-11 2022-06-24 |
| JOB SUMMARY | NIL |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
i. Kuandaa na kuratibu vikao vya shughuli za Kamati na Mikutano ya Bunge; ii. Kuandaa mihtasari ya vikao vya Kamati na Mikutano ya Bunge; iii. Kuhakikisha wadau wanaohusika na shughuli za Kamati na Bunge wanapata ratiba kwa wakati; <span lang=”EN-GB” style=”font-size: 12.0pt; line-height: 150%; font-family: ‘Arial’,’sans-serif’; mso-fareast-font-family: Arial; mso-fareas |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE |
Mwombaji awe na Shahada kutoka Chuo Kikuu au Taasisi ya Elimu ya Juu inayotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani zifuatazo:- Uchumi, Sheria, Uhasibu, Utawala (Local Government Administration), au Fani za Afya (Health Service Management). |
| REMUNERATION | PSS D |