×

Mh. Ridhiwani Ateta na Maafisa Ardhi na Kuwakumbusha Kutimiza Wajibu Wao

Mh. Ridhiwani (katikati) akizungumza na maafisa ardhi.

 

BAADA ya ufungaji wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi yaliyofanyika Chuo Cha Mkwawa, Iringa Mhe. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipata nafasi kuzungumza na Maafisa Ardhi wa Mkoa wa Iringa na Manispaa ya Iringa. Lengo lilikuwa ni kujadili hali ya kazi na kukumbushana wajibu wa kila mmoja katika utendaji.

Kikao kikiendelea.

Leave a Comment