×

Live: Rais Samia Anazindua Jengo la Mama na Mtoto Ccbrt Msasani – Dar Es Salaam-Video

RAIS Samia leo Julai 5, 2022, amefika na kuzindua jengo jipya na la kisasa katika hospitali ya CCBRT ambapo amepata nafasi ya kuzunguka na kukagua jengo hilo, sambamba na kutoa zawadi kwa wanawake waliokutwa wamejifungua katika hospitali hiyo.

 

Leave a Comment