×

Vodacom Tusua Mapene Yakabidhi Gari kwa Mshindi Viwanja vya Sabasaba

Mshindi wa gari kupitia shindano la Vodacom Tusua mapene, Abdulrazak Selemani mkazi wa Mbagala akionyesha funguo ya gari mpya aina ya Suzuki S Presso alilojishindia katika shindano la Tusua Mapene lililochezeshwa kwenye maonesho ya 46 ya Biashara ya kimataifa (Sabasaba). Wengine ni Mstahiki Meya wa jiji la Dar es salaam, Omary Kumbilamoto (katikati) na Mkurugenzi wa kitengo cha Dijitali na huduma za ziada Vodacom Tanzania Plc, Nguvu Kamando. Ili kujishindia zawadi katika shindano hilo tuma neno V kwenda 15544.

 

Mstahiki meya wa jiji la Dar es salaam, Omary Kumbilamoto akionyesha simu aina ya smart kitochi aliyonunua kwenye banda la Vodacom, Katikati ni Mkurugenzi wa kitengo cha Dijitali na huduma za ziada Vodacom Tanzania Plc, Nguvu Kamando na Meneja wa maduka ya rejareja Vodacom, Vanessa Mlawi.

Leave a Comment