×

Rais Samia Awasili Visiwani Pemba kwa Ziara ya Kikazi- Picha

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea katika uwanja wa ndege Pemba.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili visiwani Pemba leo Julai 15, 2022 kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Rais Samia Sukuhu Hassan akiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za utamaduni alipowasili uwanja wa ndege Pemba.

Rais Samia amewasili katika uwanja wa ndege wa Pemba na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali na vikundi mbalimbali vya ngoma za utamaduni.

 

 

Leave a Comment