×

Nandy Amwaga Machozi Madhabahuni Akila Kiapo cha Ndoa na Billnass-Video

Msanii Faustina Mfinanga almaarufu  kama ‘Nandy’  amejikuta akitokwa na machozi ya furaha madhabahuni wakati akila kiapo cha ndoa  leo Julai 16, 2022 ambapo  amefunga pingu za maisha na msanii William Lyimo maarifu kama Billnass.

Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mbezi Beach Dar es salaam.

 

Leave a Comment