Live: Manara Afunguka Pre Season ya Yanga Kufanyika Kigamboni, Atangaza Balaa la Wiki ya Mwananchi-Video
Global Publishers July 19, 2022 4,616 views 0 Comments
SHARE THIS:
MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara pamoja na Hassan Bumbuli, wamezungumza na waandishi wa habari leo Julai 19, 2022 na kueleza juu ya mikakati ya klabu yao katika kipindi hiki cha Pre season