×

Rais Samia Anashiriki Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Nchini

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma leo 25 Julai, 2022

Leave a Comment