×

Rais Samia Ampokea Rais wa Zambia Hakainde Hichilema Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere

Rais Samia akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Hakainde Hichilema

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Zambia Hakainde Hichilema leo katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Gwaride la heshima lililoandaliwa na JWTZ

Baada ya kupokelewa Rais Hichilema amepata wasaa wa kukagua gwaride la mapokezi lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ.

 

Rais Hichilema amefanya ziara ya siku moja ambayo ni ziara ya kikazi

Leave a Comment