Muda mfupi baada ya Klabu ya Simba kuzindua jezi zake, mashabiki wa klabu hiyo wamejitokeza kwa wingi kwenye Duka la Vunjabei, Sinza ambako misururu mirefu ya mashabiki imeonekana wakiwa wanasubiri kununua jezi hizo mpya zilizoanza kuuzwa leo.