×

Mgombea Urais Kenya Waihiga Akubali Kushindwa, Amtaja William Ruto Kama Mshindi

Mgombea wa chama cha Agano Waihiga Mwaure.

MGOMBEA wa chama cha Agano Waihiga Mwaure akiongea na vyombo vya habari amesema kwamba baada ya kipindi kirefu cha kufuatilia matokeo, chama chake cha Agano kimekubali kushindwa.

 

Waihiga vilevile ameitaka tume ya uchaguzi ya IEBC kumtangaza naibu wa rais William Ruto kama mshindi wa uchaguzi huu kwasababu vyombo vyote vya habari vimekuwa vikimuonesha akiongoza.

 

Vilevile ameitaka tume hiyo kusimama imara na kutokubali kuingiliwa kwa mtokeo hayo ya uchaguzi.

MSEMAJI MKUU WA SERIKALI GERSON MSIGWA ANATOA TAARIFA YA MIRADI YA SERIKALI MUDA HUU..

Leave a Comment