×

Video: Mwili wa Msanii Erick Kisauti Waagwa Kibaha Mkoani Pwani, Ndugu Wazimia Jeneza Likiingizwa Ndani..

MWILI wa Msanii maarufu wa vichekesho, Zabogan Zabron maarufu kama Erick ‘Hivyo hivyo’ umeagwa na kisha safari ya kuelekea Mwanza inatarajiwa kuanza jioni ya leo, mpaka sasa changamoto kubwa ni kukosekana kwa pesa ya kukodisha gari kwa ajili ya kusafirisha mwili, huku Wadau mbalimbali wakiombwa kuendelea kutuma michango kupitia namba ya Mchekeshaji Tin White ambayo ni 0782281249 Jina ni Masudi Jumanne.

Msiba wa Mchekeshaji Sobogani Zabron maarufu Kama Erick Kisauti ambaye amefariki alfajiri ya Agosti 17, 2022 na kutarajiwa kuzika siku ya Agosti 19, 2022 jijini Mwanza.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment