×

Ripoti za Kuaminika Kutoka Umoja wa Mataifa Unasema Watoto wa Ukraine Wamehamishiwa Urusi

Ilze Brands Kehris

UMOJA wa Mataifa ulisema kuna shutuma za kuaminika kwamba vikosi vya Urusi vimepeleka watoto wa Ukraine nchini Urusi kwa ajili ya kuasili kama sehemu ya mpango mkubwa wa kuwahamish.

 

Ilze Brands kehris msaidizi wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa katika haki za binadamu alisema: “Kumekuwa na madai ya kuaminika ya uhamisho wa kulazimishwa wa watoto wasio na wazazi hadi eneo linalokaliwa na Urusi au kwa Shirikisho la Urusi lenyewe”.

Ilze Brands Kehris

Utaratibu unaotumika kuchuja watu ambao wanasadikika kuwa na mahusiano ya karibu na jeshi Pamoja na serikali ya Ukraine zimehusishwa kuwa ni za mateso na kutumia nguvu kuwahamisha ili kuwapeleka katika vizuizi na vituo vya Urusi alisema Kehris.

 

Imeandikwa: leocardia Charles kwamsaada wa mitandao.

 

 

 

 

Leave a Comment