×

Masanja Atua nchini Akitokea Marekani Apokelewa na Mkewe Uwanja wa Ndege – Video

Askofu wa Makanisa ya Fell Free Church, Masanja Mkandamizaji akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo.

Masanja Mkandamizaji; ni Askofu wa Makanisa ya Fell Free Church ambaye usiku wa kuamkia leo Oktoba 5, 2022 na kupokelewa na mkewe Monica kwa furaha zote.

Masanja ametua nchini Tanzania akitokea Marekani wakati huu ambapo kuna mjadala mzito kuhusu sakata la kudaiwa kujinyonga kwa katibu wa kanisa lake, Mc Johas akihusiashwa na mkewe Masanja.

…Wakikumbatiana.

 

Masanja ameposti video akipokelewa na mkewe huyo na kuandika; “Namshukuru Mungu nimefika nyumbani salama. Nimepokelewa na pisi yangu ya Kisukuma. Tunaendelea na mfungo wa siku 5, kesho ni siku ya pili tukutane Free Church. #nakutakia mema…Asanteni watu wangu wa nguvu @mcluvanda @lillianmwasha_

 

View this post on Instagram

 

A post shared by globalpublishers (@globaltvonline)

Leave a Comment