SBL & RC Nurdin Babu Walivyofanya Ukaguzi wa Kiwanda Moshi
Global Publishers October 21, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Mkurugenzi wa Mahusiano ya Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) akielezea juu ya upanuzi wa kiwanda cha vinywaji vikali cha mjini Moshi, katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, iliyofanyika hapo jana.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu akitembelea kiwanda cha vinywaji vikali cha Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) kilichopo mjini Moshi, wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa upanuzi wa kiwanda hicho hapo jana. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu akizungumza na waandishi wa Habari katika ofisi za kiwanda cha Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) tarehe 20 Oktoba alipotembelea kiwanda hicho cha vinywaji vikali, kama sehemu ya kufuatilia maendeleo ya upanuzi wa kiwanda hicho.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) katika ziara yake ya ukaguzi wa maendeleo ya upanuzi wa kiwanda cha SBL kilipocho mjini Moshi.