×

Rais Samia Afungua Kongamano la Kitaifa Nishati Safi ya Kupikia (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wananchi waliohudhuria kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.
Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia lililofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar Es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.
Rais Samia akihutubia Viongozi pamoja na Wananchi waliohudhuria kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Kongamano la Kitaifa la Nishati Safi ya Kupikia ‘Tanzania Clean Cooking Conference’ leo tarehe 01 Novemba, 2022 katika ukumbi wa JNICC

Leave a Comment