
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi leo Novemba 8, 2022 amefungua Mkutano wa “7th Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022″ uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege.
