×

Live: Rais Samia Anazindua Mradi wa Maji Kigamboni-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anazindua Mradi wa Maji Kigamboni ili kuweza kutatua changamoto ya uhaba wa maji hasa kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam.

Leave a Comment