×

Yanga Yaibuka na Ushindi wa Bao 1-0 Dhidi ya Kagera Sugar Kirumba, Mwanza

MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya NBC Yanga leo Novemba 13, 2022 imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Bao pekee la wananchi limefungwa na Clement Mzize dakika 18,huku Kagera Sugar wakikosa nafasi kadhaa za kufunga ikiwemo ya kwa Erick Mwijage katika dakika ya 70 baada ya kukosa mkwaju wa penalti.

 

Yanga sasa imefikisha alama 23 bada ya kucheza michezo 9 sawa na Azam Fc yenye alama 23 ikiwa imecheza michezo 11.

#EXCLUSIVE: LULU DIVA AELEZA ALIVYOTAKA KUJIUA KWA SUMU ya PANYA BAADA ya VIDEO CHAFU KUSAMBAA..

Leave a Comment