×

Mwinyi Zahera Ateuliwa Kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Polisi Tanzania

Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu.

Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambulishwa kwa wachezaji wa Maafande hao wa Polisi Tanzania.

Leave a Comment