×

Zitto Kabwe Ataja Ngoma 10 za Bongo Fleva Zilizomkosha Mwaka Huu 2022

Kiongozi wa chama cha ACT, Zitto Kabwe.
Kiongozi wa chama cha ACT, Zitto Kabwe amezitaja ngoma 10 kali za Bongo Fleva zilizomkosha mwaka huu 2022:-
1. Huyu Hapa — Mbosso
2. Fire — Zuchu
3. Nakupenda — Jay Melody
4. Vimba — Maua Sama
5. Mwambieni — Zuchu
6. Mtasubiri — Diamond & Zuchu
7. Kilometa Ziro — Mwasiti
8. Naogopa — Marioo & Harmonize
9. Asali — AliKiba
10. Umeniweza — Ommy Dimpoz

Mbosso – Huyu Hapa (Official Music Video)

Ommy Dimpoz – Umeniweza (Official Music Video)

Maua Sama – Vimba

Jay Melody – Nakupenda (Official Video)

Zuchu – Mwambieni (Official Music Video)

Marioo & Harmonize – Naogopa (Official Music Video)

Leave a Comment