×

Yanga Wamtambulisha Musonda Wa Zambia, Rekodi Yake Ni Hatari, Mechi 17 Mabao 11

Klabu ya Yanga SC imetangaza kumsajili mshambuliaji Kennedy Musonda kutoka klabu ya Power Dynamos.

Musonda (28) raia wa Zambia amesaini mkataba wa miaka miwili na chaguo la nyongeza ya mwaka mmoja zaidi.

Leave a Comment